Habari-Picha: Rais Kikwete akizindua matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012 — Lulu

Lulu

Hazina ya Ukweli

Ramadan Kareem Adverts 1

Rais Kikwete akizindua matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012

Imechapwa tarehe Jan 07 2013 // | Mwandishi: Na Mwandishi Maalum

Rais Kikwete akizindua matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012

Rais Kikwete akizindua matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012, hivi karibuni, jijini Dar es Salaam, ambapo alibainisha kuwa idadi ya watu nchini imefikia milioni 44,929,002.

Picha Zaidi

Andika Maoni Yako

You must be Logged in to post comment.